Jeremiah 6:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Kwa hiyo, sikilizeni enyi mataifa; enyi jumuiya ya watu jueni yatakayowapata.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo sikilizeni, enyi mataifa, angalieni, enyi mashahidi, lile litakalowatokea.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa sababu hiyo sikilizeni, enyi mataifa, mkajue, Ee kusanyiko, ni jambo gani litokealo kati yao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Kwa hiyo, sikilizeni enyi mataifa; enyi jumuiya ya watu jueni yatakayowapata.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo sikilizeni, Enyi mataifa, angalieni, Enyi mashahidi, lile litakalowatokea.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo sikilizeni, enyi mataifa, angalieni, enyi mashahidi, lile litakalowatokea.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa sababu hiyo sikilizeni, enyi mataifa, mkajue, Ee kusanyiko, ni jambo gani litokealo kati yao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Kwa hiyo, sikilizeni enyi mataifa; enyi jumuiya ya watu jueni yatakayowapata.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo sikieni, ninyi wamizimu! Ninyi mliokutanika, yatambueni yatakayokuwa kwao!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa sababu hiyo sikilizeni, enyi mataifa, mkajue, Ee kusanyiko, ni jambo gani litokealo kati yao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa hiyo, musikilize, enyi mataifa; enyi makundi ya watu, mujue yale yatakayowapata.