Jeremiah 6:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ya nini kuniletea ubani kutoka Sheba, na udi wa harufu nzuri kutoka nchi ya mbali? Sadaka zenu za kuteketezwa hazikubaliki, wala tambiko zenu hazinipendezi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Unanifaa nini uvumba kutoka Sheba, au udi wa harufu nzuri kutoka nchi ya mbali? Sadaka zako za kuteketezwa hazikubaliki, dhabihu zako hazinifurahishi mimi.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yafaa nini niletewe ubani kutoka Sheba, na uudi kutoka nchi iliyo mbali? Sadaka zenu za kuteketezwa hazikubaliwi, wala dhabihu zenu haziniridhii.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ya nini kuniletea ubani kutoka Sheba, na udi wa harufu nzuri kutoka nchi ya mbali? Sadaka zenu za kuteketezwa hazikubaliki, wala tambiko zenu hazinipendezi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wanifaa nini uvumba kutoka Sheba au udi wa harufu nzuri kutoka nchi ya mbali? Sadaka zako za kuteketezwa hazikubaliki, dhabihu zako hazinifurahishi mimi.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Unanifaa nini uvumba kutoka Sheba, au udi wa harufu nzuri kutoka nchi ya mbali? Sadaka zako za kuteketezwa hazikubaliki, dhabihu zako hazinifurahishi mimi.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yafaa nini niletewe ubani kutoka Sheba, na udi kutoka nchi iliyo mbali? Sadaka zenu za kuteketezwa hazikubaliwi, wala dhabihu zenu haziniridhii.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ya nini kuniletea ubani kutoka Sheba, na udi wa harufu nzuri kutoka nchi ya mbali? Sadaka zenu za kuteketezwa hazikubaliki, wala tambiko zenu hazinipendezi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Uvumba utokao Saba unanifaliaje? Nayo manukato yatokayo nchi ya mbali ni ya nini? Ng'ombe zenu za tambiko hazinipendezi, wala vipaji vyenu vya tambiko havinifurahishi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yafaa nini niletewe ubani kutoka Sheba, na uudi kutoka nchi iliyo mbali? Sadaka zenu za kuteketezwa hazikubaliwi, wala dhabihu zenu haziniridhii.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa nini kuniletea ubani kutoka Seba, na udi wa harufu nzuri kutoka inchi ya mbali? Sadaka zenu za kuteketezwa kwa moto hazikubaliki, wala sadaka zenu zingine hazinipendezi.