Jeremiah 6:22 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Tazameni, watu wanakuja toka nchi ya kaskazini; taifa kubwa linajitayarisha kutoka mbali duniani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivi ndivyo asemavyo Mwenyezi Mungu: “Tazama, jeshi linakuja kutoka nchi ya kaskazini, taifa kubwa linaamshwa kutoka miisho ya dunia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana asema hivi, Tazama, watu wanakuja, wakitoka katika nchi ya kaskazini; na taifa kubwa litaamshwa, litokalo katika pande za mwisho wa dunia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Tazameni, watu wanakuja toka nchi ya kaskazini; taifa kubwa linajitayarisha kutoka mbali duniani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivi ndivyo asemavyo BWANA: “Tazama, jeshi linakuja kutoka nchi ya kaskazini, taifa kubwa linaamshwa kutoka miisho ya dunia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivi ndivyo asemavyo bwana: “Tazama, jeshi linakuja kutoka nchi ya kaskazini, taifa kubwa linaamshwa kutoka miisho ya dunia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA asema hivi, Tazama, watu wanakuja, wakitoka katika nchi ya kaskazini; na taifa kubwa litaamshwa, litokalo katika pande za mwisho wa dunia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Tazameni, watu wanakuja toka nchi ya kaskazini; taifa kubwa linajitayarisha kutoka mbali duniani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivi ndivyo, Bwana anavyosema: Tazameni! Watu watakuja toka nchi ya kaskazini, taifa kubwa litainuka kwenye mapeo ya nchi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA asema hivi, Tazama, watu wanakuja, wakitoka katika nchi ya kaskazini; na taifa kubwa litaamshwa, litokalo katika pande za mwisho wa dunia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe anasema hivi: Muangalie, watu wanakuja toka inchi ya kaskazini; taifa kubwa linajitayarisha kutoka mbali kwa mwisho wa dunia.