Jeremiah 6:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waisraeli wanasema, “Tumesikia habari zao, mikono yetu imelegea; tumeshikwa na dhiki na uchungu, kama mwanamke anayejifungua.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tumesikia taarifa zao, nayo mikono yetu imelegea. Uchungu umetushika, maumivu kama ya mwanamke katika uchungu wa kuzaa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tumesikia habari zake; mikono yetu inalegea; dhiki imetushika, na utungu kama wa mwanamke wakati wa kuzaa kwake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waisraeli wanasema, “Tumesikia habari zao, mikono yetu imelegea; tumeshikwa na dhiki na uchungu, kama mwanamke anayejifungua.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tumesikia taarifa zao, nayo mikono yetu imelegea. Uchungu umetushika, maumivu kama mwanamke mwenye utungu wa kuzaa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tumesikia taarifa zao, nayo mikono yetu imelegea. Uchungu umetushika, maumivu kama ya mwanamke katika utungu wa kuzaa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tumesikia habari zake; mikono yetu inalegea; dhiki imetushika, na uchungu kama wa mwanamke wakati wa kuzaa kwake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waisraeli wanasema, “Tumesikia habari zao, mikono yetu imelegea; tumeshikwa na dhiki na uchungu, kama mwanamke anayejifungua.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tulipokisikia kivumo chao, mikono yetu ikalegea, tukasongeka, uchungu ukatushika kama wa mzazi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tumesikia habari zake; mikono yetu inalegea; dhiki imetushika, na utungu kama wa mwanamke wakati wa kuzaa kwake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Waisraeli wanasema: Tumesikia habari zao. Kwa hiyo mikono yetu imeregea; tumeshikwa na huzuni na uchungu, kama mwanamuke anayezaa.