Jeremiah 6:25 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hatuwezi kwenda mashambani, wala kutembea barabarani; maadui wameshika silaha mikononi, vitisho vimejaa kila mahali.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Usitoke kwenda mashambani au kutembea barabarani, kwa kuwa adui ana upanga, na kuna vitisho kila upande.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Msitoke kwenda mashambani, wala msitembee njiani, kwa maana upanga wa adui uko huko; hofu ziko pande zote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hatuwezi kwenda mashambani, wala kutembea barabarani; maadui wameshika silaha mikononi, vitisho vimejaa kila mahali.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Usitoke kwenda mashambani au kutembea barabarani, kwa kuwa adui ana upanga na kuna vitisho kila upande.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Usitoke kwenda mashambani au kutembea barabarani, kwa kuwa adui ana upanga, na kuna vitisho kila upande.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Msitoke kwenda mashambani, wala msitembee njiani, kwa maana upanga wa adui uko huko; hofu ziko pande zote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hatuwezi kwenda mashambani, wala kutembea barabarani; maadui wameshika silaha mikononi, vitisho vimejaa kila mahali.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Msitoke kwenda shambani, wala njiani msiende! Kwani panga za adui ziko, zinawastusha po pote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Msitoke kwenda mashambani, wala msitembee njiani, kwa maana upanga wa adui uko huko; hofu ziko pande zote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hatuwezi kwenda katika mashamba, wala kutembea katika barabara; waadui wameshika silaha katika mikono, vitisho vimejaa kila pahali.