Jeremiah 6:26 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu asema, “Jivikeni mavazi ya gunia, enyi watu wangu na kugaagaa katika majivu. Ombolezeni kwa uchungu, kama mtu anayemwombolezea mwana wa pekee, maana mwangamizi atakuja, na kuwashambulia ghafla.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Enyi watu wangu, vaeni magunia mjivingirishe kwenye majivu, ombolezeni kwa kilio cha uchungu kama amliliaye mwana pekee, kwa maana ghafula mharibu atatujia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee binti wa watu wangu, ujivike nguo ya magunia, na kugaagaa katika majivu; fanya maombolezo, kama maombolezo kwa ajili ya mwana wa pekee, maombolezo ya uchungu mwingi; maana mwenye kuteka nyara atakuja juu yetu ghafula.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu asema, “Jivikeni mavazi ya gunia, enyi watu wangu na kugaagaa katika majivu. Ombolezeni kwa uchungu, kama mtu anayemwombolezea mwana wa pekee, maana mwangamizi atakuja, na kuwashambulia ghafla.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Enyi watu wangu, vaeni magunia mjivingirishe kwenye majivu, ombolezeni kwa kilio cha uchungu kama amliliaye mwana pekee, kwa maana ghafula mharabu atatujia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Enyi watu wangu, vaeni magunia mjivingirishe kwenye majivu, ombolezeni kwa kilio cha uchungu kama amliliaye mwana pekee, kwa maana ghafula mharabu atatujia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee binti wa watu wangu, ujivike nguo ya magunia, na kugaagaa katika majivu; fanya maombolezo, kama maombolezo kwa ajili ya mwana wa pekee, maombolezo ya uchungu mwingi; maana mwenye kuteka nyara atakuja juu yetu ghafla.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu asema, “Jivikeni mavazi ya gunia, enyi watu wangu na kugaagaa katika majivu. Ombolezeni kwa uchungu, kama mtu anayemwombolezea mwana wa pekee, maana mwangamizi atakuja, na kuwashambulia ghafla.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mlio wazaliwa wa ukoo wangu, jivikeni magunia, mpate kugaagaa mavumbini! Ombolezeni kama waliofiwa na mwana wa pekee! Vilio na viwe vyenye uchungu sana! Kwani mara mwangamizi atatujia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee binti wa watu wangu, ujivike nguo ya magunia, na kugaagaa katika majivu; fanya maombolezo, kama maombolezo kwa ajili ya mwana wa pekee, maombolezo ya uchungu mwingi; maana mwenye kuteka nyara atakuja juu yetu ghafula.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe anasema: Muvae magunia, enyi watu wangu na kugaagaa katika majivu. Muomboleze kwa uchungu, kama mutu anayemulilia mwana wake wa pekee, maana mwangamizaji atakuja, na kuwashambulia kwa rafla.