Jeremiah 6:27 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yeremia, wewe nimekuweka kuwa mchunguzi na mpimaji wa watu wangu, ili uchunguze na kuzijua njia zao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Nimekufanya wewe kuwa kitu cha kujaribu chuma, nao watu wangu kama mawe yenye madini, ili upate kuzijua na kuzijaribu njia zao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nimekuweka uwe mnara na ngome kati ya watu wangu; upate kuijua njia yao na kuijaribu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yeremia, wewe nimekuweka kuwa mchunguzi na mpimaji wa watu wangu, ili uchunguze na kuzijua njia zao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Nimekufanya wewe kuwa kitu cha kujaribu chuma na watu wangu kama mawe yenye madini, ili upate kuzijua na kuzijaribu njia zao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Nimekufanya wewe kuwa kitu cha kujaribu chuma, nao watu wangu kama mawe yenye madini, ili upate kuzijua na kuzijaribu njia zao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nimekuweka uwe mnara na ngome kati ya watu wangu; upate kuijua njia yao na kuijaribu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yeremia, wewe nimekuweka kuwa mchunguzi na mpimaji wa watu wangu, ili uchunguze na kuzijua njia zao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nimekuweka kwao walio ukoo wangu, uwajaribu, kwani ni wagumu, uwatambue ukizijaribu njia zao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nimekuweka uwe mnara na ngome kati ya watu wangu; upate kuijua njia yao na kuijaribu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yeremia, wewe nimekuweka kuwa muchunguzi na mupimaji wa watu wangu, kusudi uchunguze na kuzijua njia zao.