Jeremiah 6:28 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wote ni waasi wakaidi, ni watu wanaopitapita wakisengenya wengine, wagumu kama shaba nyeusi au chuma; wote hutenda kwa ufisadi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wote ni waasi sugu, wakienda huku na huko kusengenya. Wao ni shaba na chuma, wote wanatenda upotovu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ni waasi kupita kiasi wote pia, waendao huko na huko wakisingizia, ni shaba na chuma hao, hutenda dhuluma wote pia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wote ni waasi wakaidi, ni watu wanaopitapita wakisengenya wengine, wagumu kama shaba nyeusi au chuma; wote hutenda kwa ufisadi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wote ni waasi sugu, wakienda huko na huko kusengenya. Wao ni shaba na chuma, wote wanatenda kwa upotovu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wote ni waasi sugu, wakienda huku na huko kusengenya. Wao ni shaba na chuma, wote wanatenda upotovu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ni waasi kupita kiasi wote pia, waendao huku na huko wakisingizia, ni shaba na chuma hao, hutenda dhuluma wote pia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wote ni waasi wakaidi, ni watu wanaopitapita wakisengenya wengine, wagumu kama shaba nyeusi au chuma; wote hutenda kwa ufisadi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wao wote ndio wabishi wenyewe waendao wakisingizia, ni wagumu kama shaba na vyuma, wao wote ndio wapotezaji wabaya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ni waasi kupita kiasi wote pia, waendao huko na huko wakisingizia, ni shaba na chuma hao, hutenda dhuluma wote pia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wote ni waasi na wagumu, ni watu wanaopitapita wakisengenya wengine, ni wagumu kama shaba au chuma. Wote wanatenda mabaya.