Jeremiah 6:29 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mifuo inafukuta kwa nguvu, risasi inayeyukia humohumo motoni; ni bure kuendelea kuwatakasa watu wangu, waovu hawawezi kuondolewa uchafu wao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mivuo inavuma kwa nguvu, kinachoungua kwa huo moto ni risasi, lakini pamoja na kusafisha kote huku ni bure; waovu hawaondolewi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mifuo inafukuta kwa nguvu; risasi tu inatoka katika moto huo; mfua fedha ameyeyusha bure tu; maana wabaya hawaondolewi mbali.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mifuo inafukuta kwa nguvu, risasi inayeyukia humohumo motoni; ni bure kuendelea kuwatakasa watu wangu, waovu hawawezi kuondolewa uchafu wao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mivuo inavuma kwa nguvu, kinachoungua kwa huo moto ni risasi, lakini pamoja na kusafisha kote huku ni bure; waovu hawaondolewi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mivuo inavuma kwa nguvu, kinachoungua kwa huo moto ni risasi, lakini pamoja na kusafisha kote huku ni bure; waovu hawaondolewi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mifuo inafukuta kwa nguvu; risasi tu inatoka katika moto huo; mfua fedha ameyeyusha bure tu; maana wabaya hawaondolewi mbali.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mifuo inafukuta kwa nguvu, risasi inayeyukia humohumo motoni; ni bure kuendelea kuwatakasa watu wangu, waovu hawawezi kuondolewa uchafu wao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mifuo ikifukutwa, mle motoni hutoka shaba tu. Imekuwa kazi bure kuyeyusha mara kwa mara, kwani mabaya yaliyomo hayakutengeka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mifuo inafukuta kwa nguvu; risasi tu inatoka katika moto huo; mfua fedha ameyeyusha bure tu; maana wabaya hawaondolewi mbali.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Moto wa kufua vyuma unawaka kwa nguvu, risasi inayeyukia humohumo katika moto; ni bure kuendelea kuwatakasa watu wangu, waovu hawawezi kuondolewa uchafu wao.