Jeremiah 6:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu wataujia kama wachungaji na makundi yao, watapiga hema zao kuuzunguka kila mmoja sehemu yake, wapate kuyaongoza makundi yao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wachungaji pamoja na makundi yao watakuja dhidi yake; watapiga mahema yao kumzunguka, kila mmoja akichunga kundi lake mwenyewe.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wachungaji na makundi yao ya kondoo watamjilia; watapiga hema zao karibu naye pande zote; watalisha kila mmoja mahali pake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu wataujia kama wachungaji na makundi yao, watapiga hema zao kuuzunguka kila mmoja sehemu yake, wapate kuyaongoza makundi yao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wachungaji pamoja na makundi yao ya kondoo na mbuzi watakuja dhidi yake; watapiga mahema yao kumzunguka, kila mmoja akichunga kundi lake mwenyewe.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wachungaji pamoja na makundi yao watakuja dhidi yake; watapiga mahema yao kumzunguka, kila mmoja akichunga kundi lake mwenyewe.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wachungaji na makundi yao ya kondoo watamjia; watapiga hema zao karibu naye pande zote; watalisha kila mmoja mahali pake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu wataujia kama wachungaji na makundi yao, watapiga hema zao kuuzunguka kila mmoja sehemu yake, wapate kuyaongoza makundi yao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Watakuja kwake wachungaji na makundi yao, watapiga mahema kwake na kumzinga, walishe kila mmoja fungu lake wakisema: Jitakaseni, mpigane nao!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wachungaji na makundi yao ya kondoo watamjilia; watapiga hema zao karibu naye pande zote; watalisha kila mmoja mahali pake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wataufikia kama vile wachungaji na makundi yao, watasimamisha hema zao kandokando yake, kila wamoja upande wao kwa kulisha makundi yao.