Jeremiah 6:30 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wataitwa ‘Takataka za fedha’, maana mimi Mwenyezi-Mungu nimewakataa.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wanaitwa fedha iliyokataliwa, kwa sababu Mwenyezi Mungu amewakataa.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Watu watawaita taka za fedha, kwa sababu Bwana amewakataa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wataitwa ‘Takataka za fedha’, maana mimi Mwenyezi-Mungu nimewakataa.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wanaitwa fedha iliyokataliwa, kwa sababu BWANA amewakataa.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wanaitwa fedha iliyokataliwa, kwa sababu bwana amewakataa.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Watu watawaita taka za fedha, kwa sababu BWANA amewakataa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wataitwa ‘Takataka za fedha’, maana mimi Mwenyezi-Mungu nimewakataa.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sharti waitwe fedha zitupwazo, kwani Bwana amewatupa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Watu watawaita taka za fedha, kwa sababu BWANA amewakataa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi wataitwa “takataka za feza”, maana mimi Yawe nimewakataa.