Jeremiah 6:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, tutaushambulia usiku; tutayaharibu majumba yake ya kifalme.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo inukeni, tufanye mashambulizi usiku, na kuharibu ngome zake!”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Inukeni, na tupande juu wakati wa usiku, tukayaharibu majumba yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, tutaushambulia usiku; tutayaharibu majumba yake ya kifalme.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo inukeni, tufanye mashambulizi usiku na kuharibu ngome zake!”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo inukeni, tufanye mashambulizi usiku, na kuharibu ngome zake!”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Inukeni, na tupande juu wakati wa usiku, tukayaharibu majumba yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, tutaushambulia usiku; tutayaharibu majumba yake ya kifalme.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Inukeni! Tupande na usiku, tuyaharibu majumba yake!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Inukeni, na tupande juu wakati wa usiku, tukayaharibu majumba yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, tutaushambulia usiku; tutaziharibu nyumba zake nzuri zote.