Jeremiah 7:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, hekalu hili linalojulikana kwa jina langu limekuwa pango la wanyanganyi? Jueni kuwa mimi nimeyaona yote mnayofanya!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, nyumba hii, iitwayo kwa Jina langu, imekuwa pango la wanyang’anyi kwenu? Lakini nimekuwa nikiona yanayotendeka! asema Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Nyumba hii, iitwayo kwa jina langu, imekuwa pango la wanyang'anyi machoni penu? Angalieni, mimi, naam, mimi, nimeliona jambo hili, asema Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, hekalu hili linalojulikana kwa jina langu limekuwa pango la wanyang'anyi? Jueni kuwa mimi nimeyaona yote mnayofanya!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, nyumba hii, iitwayo kwa Jina langu, imekuwa pango la wanyang'anyi kwenu? Lakini nimekuwa nikiona yanayotendeka! Asema BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, nyumba hii, iitwayo kwa Jina langu, imekuwa pango la wanyang’anyi kwenu? Lakini nimekuwa nikiona yanayotendeka! asema bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Nyumba hii, iitwayo kwa jina langu, imekuwa pango la wanyang'anyi machoni penu? Angalieni, mimi, naam, mimi, nimeliona jambo hili, asema BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, hekalu hili linalojulikana kwa jina langu limekuwa pango la wanyanganyi? Jueni kuwa mimi nimeyaona yote mnayofanya!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Je? Nyumba hii iliyoitwa kwa Jina langu imegeuka kuwa pango la wanyang'anyi machoni penu? Mimi nami ninayaona kweli. Ndivyo, asemavyo Bwana.*
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Nyumba hii, iitwayo kwa jina langu, imekuwa pango la wanyang’anyi machoni penu? Angalieni, mimi, naam, mimi, nimeliona jambo hili, asema BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Munazani kwamba hekalu hili linalojulikana kwa jina langu limekuwa kimbilio la wanyanganyi? Mujue kwamba mimi nimeona yote munayofanya! –Ni ujumbe wa Yawe.–