Jeremiah 7:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nyinyi mmefanya mambo hayo yote, na hata niliposema nanyi tena na tena hamkunisikiliza. Nilipowaiteni hamkuitika.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mlipokuwa mnafanya haya yote, asema Mwenyezi Mungu, nilisema nanyi tena na tena, lakini hamkusikiliza; niliwaita, lakini hamkujibu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na sasa, kwa sababu mmezifanya kazi hizi zote asema Bwana, nami nikasema nanyi, nikiamka mapema na kunena, lakini hamkusikia; nami nikawaita wala hamkuniitikia;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nyinyi mmefanya mambo hayo yote, na hata niliposema nanyi tena na tena hamkunisikiliza. Nilipowaiteni hamkuitika.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mlipokuwa mnafanya yote haya, asema BWANA, nilisema nanyi tena na tena, lakini hamkusikiliza, niliwaita, lakini hamkujibu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mlipokuwa mnafanya yote haya, asema bwana, nilisema nanyi tena na tena, lakini hamkusikiliza; niliwaita, lakini hamkujibu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na sasa, kwa sababu mmezifanya kazi hizi zote asema BWANA, nami nikasema nanyi, nikiamka mapema na kunena, lakini hamkusikia; nami nikawaita wala hamkuniitikia;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nyinyi mmefanya mambo hayo yote, na hata niliposema nanyi tena na tena hamkunisikiliza. Nilipowaiteni hamkuitika.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sasa ndivyo, asemavyo Bwana: nanyi mmeyafanya hayo matendo yote, tena nalisema nanyi pasipo kuchoka kusema, lakini hamkusikia, nikawaita, lakini hamkuitikia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na sasa, kwa sababu mmezifanya kazi hizi zote asema BWANA, nami nikasema nanyi, nikiamka mapema na kunena, lakini hamkusikia; nami nikawaita wala hamkuniitikia;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninyi mumefanya mambo hayo yote. –Ni ujumbe wa Yawe.– Na hata niliposema nanyi tena na tena hamukunisikiliza. Nilipowaita hamukuitika.