Jeremiah 7:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Nawe, Yeremia, usiwaombee watu hawa, usinililie kwa ajili yao, usiwaombee dua wala usinisihi kwa ajili yao, maana sitakusikiliza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Kwa hiyo usiombe kwa ajili ya watu hawa, wala usinililie, na usifanye maombi kwa ajili yao; usinisihi, kwa sababu sitakusikiliza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi, wewe usiwaombee watu hawa, wala usiwapazie sauti yako, wala kuwaombea dua, wala usinisihi kwa ajili yao; kwa maana sitakusikiliza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Nawe, Yeremia, usiwaombee watu hawa, usinililie kwa ajili yao, usiwaombee dua wala usinisihi kwa ajili yao, maana sitakusikiliza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Kwa hiyo usiombe kwa ajili ya watu hawa, usinililie, usifanye maombi kwa ajili yao, wala usinisihi kwa sababu sitakusikiliza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Kwa hiyo usiombe kwa ajili ya watu hawa, wala usinililie, na usifanye maombi kwa ajili yao; usinisihi, kwa sababu sitakusikiliza.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi, wewe usiwaombee watu hawa, wala usiwapazie sauti yako, wala kuwaombea dua, wala usinisihi kwa ajili yao; kwa maana sitakusikiliza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Nawe, Yeremia, usiwaombee watu hawa, usinililie kwa ajili yao, usiwaombee dua wala usinisihi kwa ajili yao, maana sitakusikiliza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wewe nawe usiwaombee wao wa ukoo huu! Wala usipaze sauti kunilalamikia kwa ajili yao, wala usinihimize! Kwani hapo sikusikii.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi, wewe usiwaombee watu hawa, wala usiwapazie sauti yako, wala kuwaombea dua, wala usinisihi kwa ajili yao; kwa maana sitakusikiliza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nawe Yeremia, usiwaombee watu hawa, usinililie kwa ajili yao, usinililie kwa ajili yao wala kunisihi kwa ajili yao, maana sitakusikiliza.