Jeremiah 7:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, wewe huoni mambo wanayofanya katika miji ya Yuda na katika mitaa ya Yerusalemu?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, huyaoni hayo wanayoyatenda katika miji ya Yuda na katika barabara za Yerusalemu?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Huoni wanavyotenda katika miji ya Yuda, na katika njia kuu za Yerusalemu?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, wewe huoni mambo wanayofanya katika miji ya Yuda na katika mitaa ya Yerusalemu?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, huyaoni hayo wanayoyatenda katika miji ya Yuda na katika barabara za Yerusalemu?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, huyaoni hayo wanayoyatenda katika miji ya Yuda na katika barabara za Yerusalemu?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Huoni wanavyotenda katika miji ya Yuda, na katika njia kuu za Yerusalemu?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, wewe huoni mambo wanayofanya katika miji ya Yuda na katika mitaa ya Yerusalemu?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Huyaoni, wanayoyafanya katika miji ya Yuda namo Yerusalemu katika barabara zake?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Huoni wanavyotenda katika miji ya Yuda, na katika njia kuu za Yerusalemu?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wewe hauoni mambo wanayofanya katika miji ya Yuda na katika barabara za Yerusalema?