Jeremiah 7:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini je, wanamwudhi nani? Mimi? Hata kidogo! Wanajiumiza wao wenyewe na kuchanganyikiwa!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini je, mimi ndiye wanayenikasirisha? asema Mwenyezi Mungu. Je, hawajiumizi wenyewe na kujiaibisha?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Watu hawa wanikasirisha mimi? Asema Bwana; hawajikasirishi nafsi zao, na kuzitia haya nyuso zao wenyewe?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini je, wanamwudhi nani? Mimi? Hata kidogo! Wanajiumiza wao wenyewe na kuchanganyikiwa!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini je, mimi ndiye wanayenikasirisha? asema BWANA. Je, hawajiumizi wenyewe kwa aibu yao?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini je, mimi ndiye wanayenikasirisha? asema bwana. Je, hawajiumizi wenyewe na kujiaibisha?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Watu hawa wanikasirisha mimi? Asema BWANA; hawajikasirishi nafsi zao, na kuzitia haya nyuso zao wenyewe?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini je, wanamwudhi nani? Mimi? Hata kidogo! Wanajiumiza wao wenyewe na kuchanganyikiwa!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndivyo, asemavyo Bwana: Hao watakao kuniumiza mimi hawajiumizi wenyewe, nyuso zao zipate kutiwa soni?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Watu hawa wanikasirisha mimi? Asema BWANA; hawajikasirishi nafsi zao, na kuzitia haya nyuso zao wenyewe?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini ni nani wanayemukasirikisha? Mimi? Hata kidogo! Wanajikasirikisha wao wenyewe na kujifezehesha! –Ni ujumbe wa Yawe.