Jeremiah 7:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
kwenye lango la hekalu lake Mwenyezi-Mungu na kutangaza ujumbe huu: “Sikilizeni neno la Mwenyezi-Mungu enyi watu wa Yuda mnaoingia humu kumwabudu Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Simama kwenye lango la nyumba ya Mwenyezi Mungu, na huko upige mbiu ya ujumbe huu: “ ‘Sikieni neno la Mwenyezi Mungu, enyi watu wote wa Yuda mliokuja kupitia malango haya ili kumwabudu Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Simama langoni pa nyumba ya Bwana, ukatangaze hapo neno hili, ukisema, Sikilizeni neno la Bwana, ninyi nyote wa Yuda, mnaoingia katika malango haya ili kumwabudu Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
kwenye lango la hekalu lake Mwenyezi-Mungu na kutangaza ujumbe huu: “Sikilizeni neno la Mwenyezi-Mungu enyi watu wa Yuda mnaoingia humu kumwabudu Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Simama kwenye lango la nyumba ya BWANA na huko upige mbiu ya ujumbe huu: “ ‘Sikieni neno la BWANA, enyi watu wote wa Yuda mliokuja kupitia malango haya ili kumwabudu BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Simama kwenye lango la nyumba ya bwana, na huko upige mbiu ya ujumbe huu: “ ‘Sikieni neno la bwana, enyi watu wote wa Yuda mliokuja kupitia malango haya ili kumwabudu bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Simama langoni pa nyumba ya BWANA, ukatangaze hapo neno hili, ukisema, Sikilizeni neno la BWANA, ninyi nyote wa Yuda, mnaoingia katika malango haya ili kumwabudu BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
kwenye lango la hekalu lake Mwenyezi-Mungu na kutangaza ujumbe huu: “Sikilizeni neno la Mwenyezi-Mungu enyi watu wa Yuda mnaoingia humu kumwabudu Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Simama langoni mwa Nyumba ya Bwana, ulitangaze neno hili huko ukisema: Lisikieni neno la Bwana, ninyi Wayuda wote mnaoingia humu malangoni kumwangukia Bwana!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Simama langoni pa nyumba ya BWANA, ukatangaze hapo neno hili, ukisema, Sikilizeni neno la BWANA, ninyi nyote wa Yuda, mnaoingia katika malango haya ili kumwabudu BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
kwenye mulango wa hekalu lake na kutangaza ujumbe huu: Musikilize neno la Yawe enyi watu wa Yuda munaoingia humu kwa kumwabudu Yawe.