Jeremiah 7:22 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana, siku nilipowatoa wazee wenu nchini Misri, sikuwaambia kitu wala kuwapa amri yoyote juu ya tambiko za kuteketezwa na sadaka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa kuwa nilipowaleta baba zenu kutoka Misri na kusema nao, sikuwapa amri kuhusu sadaka za kuteketezwa na dhabihu tu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana sikusema na baba zenu, wala sikuwaamuru kwa habari za sadaka za kuteketezwa na dhabihu, siku ile nilipowatoa katika nchi ya Misri;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana, siku nilipowatoa wazee wenu nchini Misri, sikuwaambia kitu wala kuwapa amri yoyote juu ya tambiko za kuteketezwa na sadaka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa kuwa nilipowaleta baba zenu kutoka Misri na kusema nao, sikuwapa amri kuhusu sadaka za kuteketezwa na dhabihu tu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa kuwa nilipowaleta baba zenu kutoka Misri na kusema nao, sikuwapa amri kuhusu sadaka za kuteketezwa na dhabihu tu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana sikusema na baba zenu, wala sikuwaamuru kwa habari za sadaka za kuteketezwa na dhabihu, siku ile nilipowatoa katika nchi ya Misri;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana, siku nilipowatoa wazee wenu nchini Misri, sikuwaambia kitu wala kuwapa amri yoyote juu ya tambiko za kuteketezwa na sadaka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani sikuwaambia baba zenu, wala sikuwaagiza, nilipowatoa katika nchi ya Misri, watoe ng'ombe za tambiko za kuteketezwa nzima na za kuchinjwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana sikusema na baba zenu, wala sikuwaamuru kwa habari za sadaka za kuteketezwa na dhabihu, siku ile nilipowatoa katika nchi ya Misri;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maana, siku nilipowaondoa babu zenu katika inchi ya Misri, sikuwaambia kitu wala kuwapa amri yoyote juu ya sadaka za kuteketezwa na sadaka zingine.