Jeremiah 7:27 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Basi, wewe Yeremia utawaambia maneno haya yote, lakini wao hawatakusikiliza. Utawaita, lakini hawatakuitikia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Utakapowaambia haya yote, hawatakusikiliza; utakapowaita, hawatajibu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawe utawaambia maneno hayo yote; lakini hawatakusikiliza, nawe utawaita; lakini hawatakuitikia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Basi, wewe Yeremia utawaambia maneno haya yote, lakini wao hawatakusikiliza. Utawaita, lakini hawatakuitikia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Utakapowaambia haya yote, hawatakusikiliza, utakapowaita, hawatajibu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Utakapowaambia haya yote, hawatakusikiliza; utakapowaita, hawatajibu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawe utawaambia maneno hayo yote; lakini hawatakusikiliza, nawe utawaita; lakini hawatakuitikia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Basi, wewe Yeremia utawaambia maneno haya yote, lakini wao hawatakusikiliza. Utawaita, lakini hawatakuitikia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nawe ukiwaambia maneno haya yote, hawatakusikia, ukiwaita, hawatakuitikia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawe utawaambia maneno hayo yote; lakini hawatakusikiliza, nawe utawaita; lakini hawatakuitikia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sasa wewe Yeremia utawaambia maneno haya yote, lakini wao hawatakusikiliza. Utawaita, lakini hawatakuitikia.