Jeremiah 7:28 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Utawaambia; ‘Nyinyi ni taifa ambalo halikutii sauti ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, wala kukubali kuwa na nidhamu. Kwenu uaminifu umekufa; umetoweka kabisa katika maneno yenu.’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo waambie, ‘Hili ni taifa ambalo halimtii Mwenyezi Mungu, Mungu wao, wala kukubali maonyo. Kweli imekufa, imetoweka midomoni mwao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawe utawaambia, Taifa hili ndilo lisilosikiliza sauti ya Bwana, Mungu wao, wala kupokea mafundisho; uaminifu umepotea, umekatiliwa mbali na vinywa vyao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Utawaambia; ‘Nyinyi ni taifa ambalo halikutii sauti ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, wala kukubali kuwa na nidhamu. Kwenu uaminifu umekufa; umetoweka kabisa katika maneno yenu.’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo waambie, ‘Hili ni taifa ambalo halimtii BWANA, Mungu wao wala kukubali kurudiwa. Kweli imekufa, imetoweka midomoni mwao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo waambie, ‘Hili ni taifa ambalo halimtii bwana, Mungu wao, wala kukubali maonyo. Kweli imekufa, imetoweka midomoni mwao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawe utawaambia, Taifa hili ndilo lisilosikiliza sauti ya BWANA, Mungu wao, wala kupokea mafundisho; uaminifu umepotea, umekatiliwa mbali na vinywa vyao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Utawaambia; ‘Nyinyi ni taifa ambalo halikutii sauti ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, wala kukubali kuwa na nidhamu. Kwenu uaminifu umekufa; umetoweka kabisa katika maneno yenu.’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Basi, uwaambie: Taifa hili ndilo lisiloisikia sauti ya Bwana Mungu wao, wala hawakutaka kuonyeka. Welekevu umepotea, umetoweka vinywani mwao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawe utawaambia, Taifa hili ndilo lisilosikiliza sauti ya BWANA, Mungu wao, wala kupokea mafundisho; uaminifu umepotea, umekatiliwa mbali na vinywa vyao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi utawaambia: Ninyi ni taifa ambalo halikutii sauti ya Yawe, Mungu wao, wala kukubali maonyo yake. Kwenu uaminifu umekufa; umetoweka kabisa katika vinywa vyenu.