Jeremiah 7:29 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Nyoeni nywele zenu enyi wakazi wa Yerusalemu, mzitupe; fanyeni maombolezo juu ya vilele vya milima, maana, mimi Mwenyezi-Mungu nimewakataa nyinyi, mlio kizazi kilichosababisha hasira yangu!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nyoeni nywele zenu na kuzitupa, ombolezeni katika miinuko iliyo kame, kwa kuwa Mwenyezi Mungu amekikataa na kukiacha kizazi hiki kilichomkasirisha.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Zikate nywele zako, Ee Yerusalemu, uzitupe, Ukafanye maombolezo juu ya vilele vya milima; Kwa maana Bwana amekikataa na kukitupa Kizazi cha ghadhabu yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Nyoeni nywele zenu enyi wakazi wa Yerusalemu, mzitupe; fanyeni maombolezo juu ya vilele vya milima, maana, mimi Mwenyezi-Mungu nimewakataa nyinyi, mlio kizazi kilichosababisha hasira yangu!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nyoeni nywele zenu na kuzitupa, ombolezeni juu ya miinuko iliyo kame, kwa kuwa BWANA amekikataa na kukiacha kizazi hiki kilichomkasirisha.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nyoeni nywele zenu na kuzitupa, ombolezeni katika miinuko iliyo kame, kwa kuwa bwana amekikataa na kukiacha kizazi hiki kilichomkasirisha.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Zikate nywele zako, Ee Yerusalemu, uzitupe, Ukafanye maombolezo juu ya vilele vya milima; Kwa maana BWANA amekikataa na kukitupa Kizazi cha ghadhabu yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Nyoeni nywele zenu enyi wakazi wa Yerusalemu, mzitupe; fanyeni maombolezo juu ya vilele vya milima, maana, mimi Mwenyezi-Mungu nimewakataa nyinyi, mlio kizazi kilichosababisha hasira yangu!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Binti Sioni, zinyoe nywele zako za urembo, uzitupe! Piga kilio vilimani juu kusikokuwa na vijiti! Kwani Bwana amekikataa kizazi kilichomkasirisha, akakitupa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Zikate nywele zako, Ee Yerusalemu, uzitupe, Ukafanye maombolezo juu ya vilele vya milima; Kwa maana BWANA amekikataa na kukitupa Kizazi cha ghadhabu yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Munyoe nywele zenu na kuzitupa, enyi wakaaji wa Yerusalema: mufanye maombolezo juu ya vichwa vya milima, maana, mimi Yawe nimewakataa ninyi, nimewatupilia ninyi kizazi kilichosababisha hasira yangu!