Jeremiah 7:32 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa sababu hiyo, siku zaja ambapo hawataliita tena ‘Tofethi,’ au ‘Bonde la Mwana wa Hinomu,’ bali wataliita ‘Bonde la Mauaji.’ Huko ndiko watakakozika watu, kwa sababu hapatakuwa na mahali pengine pa kuzikia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo mjihadhari, siku zinakuja, asema Mwenyezi Mungu, wakati watu watakapokuwa hawapaiti Tofethi au Bonde la Ben-Hinomu, lakini watapaita Bonde la Machinjo, kwa sababu watawazika wafu huko Tofethi hadi pasiwe tena nafasi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi angalieni, siku zinakuja, asema Bwana, ambazo katika siku hizo halitaitwa tena Tofethi, wala Bonde la mwana wa Hinomu bali litaitwa, Bonde la Machinjo; maana watazika watu katika Tofethi, hata hapatakuwapo mahali pa kuzika tena.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa sababu hiyo, siku zaja ambapo hawataliita tena ‘Tofethi,’ au ‘Bonde la Mwana wa Hinomu,’ bali wataliita ‘Bonde la Mauaji.’ Huko ndiko watakakozika watu, kwa sababu hapatakuwa na mahali pengine pa kuzikia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo mjihadhari, siku zinakuja, asema BWANA, wakati watu watakapokuwa hawapaiti Tofethi au Bonde la Ben-Hinomu, lakini watapaita Bonde la Machinjo, kwa sababu watawazika wafu huko Tofethi mpaka pasiwe tena nafasi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo mjihadhari, siku zinakuja, asema bwana, wakati watu watakapokuwa hawapaiti Tofethi au Bonde la Ben-Hinomu, lakini watapaita Bonde la Machinjo, kwa sababu watawazika wafu huko Tofethi mpaka pasiwe tena nafasi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi angalieni, siku zinakuja, asema BWANA, ambazo katika siku hizo halitaitwa tena Tofethi, wala Bonde la mwana wa Hinomu bali litaitwa, Bonde la Machinjo; maana watazika watu katika Tofethi, hata hapatakuwapo mahali pa kuzika tena.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa sababu hiyo, siku zaja ambapo hawataliita tena ‘Tofethi,’ au ‘Bonde la Mwana wa Hinomu,’ bali wataliita ‘Bonde la Mauaji.’ Huko ndiko watakakozika watu, kwa sababu hapatakuwa na mahali pengine pa kuzikia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo ndivyo, asemavyo Bwana: Wataona kweli, siku zikija, pasipotajwa tena Tofeti wala bonde la Mwana wa Hinomu, ila pataitwa Bonde la Uuaji; ndipo, watakapozikia kwenye Tofeti kwa kukosa pengine.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi angalieni, siku zinakuja, asema BWANA, ambazo katika siku hizo halitaitwa tena Tofethi, wala Bonde la mwana wa Hinomu bali litaitwa, Bonde la Machinjo; maana watazika watu katika Tofethi, hata hapatakuwapo mahali pa kuzika tena.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa sababu hiyo, siku zinakuja ambapo hawataliita tena “Tofeti”, au “bonde la Mwana wa Hinomu”, lakini wataliita “bonde la Mauaji”. –Ni ujumbe wa Yawe.– Huko ndiko watakakozika watu, kwa sababu hapatakuwa pahali pengine pa kuzikia.