Jeremiah 7:33 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maiti za watu hao zitakuwa chakula cha ndege wa angani na wanyama wa porini, na hapatakuwa na mtu atakayewafukuza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo mizoga ya watu hawa itakuwa chakula cha ndege wa angani na wanyama wa nchi, wala hapatakuwa na yeyote wa kuwafukuza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na mizoga ya watu hawa itakuwa chakula cha ndege wa angani, na cha wanyama wa nchi; wala hapana mtu atakayewafukuza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maiti za watu hao zitakuwa chakula cha ndege wa angani na wanyama wa porini, na hapatakuwa na mtu atakayewafukuza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo mizoga ya watu hawa itakuwa chakula cha ndege wa angani na wanyama wa nchi, wala hapatakuwepo na ye yote wa kuwafukuza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo mizoga ya watu hawa itakuwa chakula cha ndege wa angani na wanyama wa nchi, wala hapatakuwepo na yeyote wa kuwafukuza.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na mizoga ya watu hawa itakuwa chakula cha ndege wa angani, na cha wanyama wa nchi; wala hapana mtu atakayewafukuza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maiti za watu hao zitakuwa chakula cha ndege wa angani na wanyama wa porini, na hapatakuwa na mtu atakayewafukuza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nayo mizoga ya watu wa ukoo huu itakuwa chakula cha ndege wa angani na cha nyama wa porini, asiweko atakayewatisha.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na mizoga ya watu hawa itakuwa chakula cha ndege wa angani, na cha wanyama wa nchi; wala hapana mtu atakayewafukuza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maiti za watu hao zitakuwa chakula cha ndege na nyama wa pori, na hapatakuwa mutu atakayewafukuza.