Jeremiah 7:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Msitumainie maneno haya ya uongo: ‘Hili ni hekalu la Mwenyezi-Mungu, hekalu la Mwenyezi-Mungu, naam hekalu la Mwenyezi-Mungu.’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Msitumainie maneno ya udanganyifu na kusema, “Hili ni Hekalu la Mwenyezi Mungu, Hekalu la Mwenyezi Mungu, Hekalu la Mwenyezi Mungu!”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Msitumainie maneno ya uongo, mkisema, Hekalu la Bwana, Hekalu la Bwana, Hekalu la Bwana ndiyo haya.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Msitumainie maneno haya ya uongo: ‘Hili ni hekalu la Mwenyezi-Mungu, hekalu la Mwenyezi-Mungu, naam hekalu la Mwenyezi-Mungu.’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Msitumainie maneno ya udanganyifu na kusema, “Hili ni Hekalu la BWANA, hili ni Hekalu la BWANA, Hekalu la BWANA!”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Msitumainie maneno ya udanganyifu na kusema, “Hili ni Hekalu la bwana, Hekalu la bwana, Hekalu la bwana!”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Msitumainie maneno ya uongo, mkisema, Hekalu la BWANA, Hekalu la BWANA, Hekalu la BWANA ndiyo haya.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Msitumainie maneno haya ya uongo: ‘Hili ni hekalu la Mwenyezi-Mungu, hekalu la Mwenyezi-Mungu, naam hekalu la Mwenyezi-Mungu.’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Msijiegemeze maneno ya uwongo kwamba: Nyumba ya Bwana, Nyumba ya Bwana, Nyumba ya Bwana ni hii!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Msitumainie maneno ya uongo, mkisema, Hekalu la BWANA, Hekalu la BWANA, Hekalu la BWANA ndiyo haya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musitumainie maneno haya ya udanganyifu mukisema: Hili ni hekalu la Yawe, hekalu la Yawe, hakika hili ni hekalu la Yawe.