Jeremiah 7:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Ila kama mkibadili mienendo yenu na matendo yenu, mkitendeana haki kwa dhati;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama kweli mkibadili njia zenu na matendo yenu, mkatendeana haki kila mmoja na mwenzake,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana kama mkitengeneza kabisa njia zenu na matendo yenu; kama mkihukumu hukumu ya haki kati ya mtu na jirani yake;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Ila kama mkibadili mienendo yenu na matendo yenu, mkitendeana haki kwa dhati;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama kweli mkibadili njia zenu na matendo yenu mkitendeana haki kila mmoja na mwenzake,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama kweli mkibadili njia zenu na matendo yenu, mkatendeana haki kila mmoja na mwenzake,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana kama mkitengeneza kabisa njia zenu na matendo yenu; kama mkihukumu hukumu ya haki kati ya mtu na jirani yake;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Ila kama mkibadili mienendo yenu na matendo yenu, mkitendeana haki kwa dhati;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ila jikazeni, njia zenu na matendo yenu yawe mema, mfanyiziane yanyokayo kila mtu na mwenziwe!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana kama mkitengeneza kabisa njia zenu na matendo yenu; kama mkihukumu hukumu ya haki kati ya mtu na jirani yake;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini mugeuze mwenendo wenu na matendo yenu. Mufuate sheria yangu kati yenu.