Jeremiah 8:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Wakati huo, nasema mimi Mwenyezi-Mungu, mifupa ya wafalme wa Yuda, mifupa ya wakuu wao, mifupa ya makuhani, mifupa ya manabii na mifupa ya wakazi wote wa Yerusalemu itachimbuliwa makaburini mwao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Wakati huo, asema Mwenyezi Mungu, mifupa ya wafalme na maafisa wa Yuda, mifupa ya makuhani na manabii, na mifupa ya watu wa Yerusalemu itaondolewa kutoka makaburi yao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakati ule, asema Bwana, watatoa mifupa ya wafalme wa Yuda, na mifupa ya wakuu wake, na mifupa ya makuhani, na mifupa ya manabii na mifupa ya wenyeji wa Yerusalemu, itoke makaburini mwao;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Wakati huo, nasema mimi Mwenyezi-Mungu, mifupa ya wafalme wa Yuda, mifupa ya wakuu wao, mifupa ya makuhani, mifupa ya manabii na mifupa ya wakazi wote wa Yerusalemu itachimbuliwa makaburini mwao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Wakati huo, asema BWANA, mifupa ya Wafalme na maafisa wa Yuda, mifupa ya makuhani na manabii, nayo mifupa ya watu wa Yerusalemu itaondolewa kutoka katika makaburi yao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Wakati huo, asema bwana, mifupa ya wafalme na maafisa wa Yuda, mifupa ya makuhani na manabii, na mifupa ya watu wa Yerusalemu itaondolewa kutoka makaburi yao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakati ule, asema BWANA, watatoa mifupa ya wafalme wa Yuda, na mifupa ya wakuu wake, na mifupa ya makuhani, na mifupa ya manabii na mifupa ya wenyeji wa Yerusalemu, itoke makaburini mwao;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Wakati huo, nasema mimi Mwenyezi-Mungu, mifupa ya wafalme wa Yuda, mifupa ya wakuu wao, mifupa ya makuhani, mifupa ya manabii na mifupa ya wakazi wote wa Yerusalemu itachimbuliwa makaburini mwao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndivyo, asemavyo Bwana: Siku zile wataifukua makaburini mwao mifupa ya wafalme wa Yuda na mifupa ya wakuu wao na mifupa ya watambikaji na mifupa ya wafumbuaji na mifupa yao waliokaa Yerusalemu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakati ule, asema BWANA, watatoa mifupa ya wafalme wa Yuda, na mifupa ya wakuu wake, na mifupa ya makuhani, na mifupa ya manabii na mifupa ya wenyeji wa Yerusalemu, itoke makaburini mwao;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Katika nyakati hizo, mifupa ya wafalme wa Yuda, mifupa ya wakubwa wao, mifupa ya makuhani, mifupa ya manabii na mifupa ya wakaaji wote wa Yerusalema itachimbuliwa toka ndani ya makaburi yao.