Jeremiah 8:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Basi nitawaleteeni nyoka; nyoka wenye sumu wasioweza kurogwa na walozi, nao watawauma nyinyi. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Tazama, nitatuma nyoka wenye sumu kali kati yenu, fira ambao hawawezi kulogwa, nao watawauma,” asema Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana, tazama, nitatuma nyoka, naam, fira, kati yenu, wasioweza kutumbuizwa kwa uganga; nao watawauma, asema Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Basi nitawaleteeni nyoka; nyoka wenye sumu wasioweza kurogwa na walozi, nao watawauma nyinyi. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Tazama, nitatuma nyoka wenye sumu kali katikati yenu, nyoka wenye sumu ambao hawawezi kulogwa, nao watawauma,” asema BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Tazama, nitatuma nyoka wenye sumu kali katikati yenu, fira ambao hawawezi kulogwa, nao watawauma,” asema bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana, tazama, nitatuma nyoka, naam, fira, kati yenu, wasioweza kutumbuizwa kwa uganga; nao watawauma, asema BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Basi nitawaleteeni nyoka; nyoka wenye sumu wasioweza kurogwa na walozi, nao watawauma nyinyi. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Angalieni! Nitatuma kwenu nyoka za pili wasiowezekana kwa uganga wo wote, wawaume ninyi; ndivyo, asemavyo Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana, tazama, nitatuma nyoka, naam, fira, kati yenu, wasioweza kutumbuizwa kwa uganga; nao watawauma, asema BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi nitawatumia ninyi nyoka; nyoka wenye sumu wasioweza kulogwa na walozi, nao watawauma ninyi. –Ni ujumbe wa Yawe.