Jeremiah 8:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mbona basi, watu hawa wameacha njia iliyo sawa na kuendelea katika upotovu wao? Wanashikilia miungu yao ya uongo, na kukataa kunirudia mimi!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa nini basi watu hawa waliasi? Kwa nini Yerusalemu wanaasi kila mara? Wanang’ang’ania udanganyifu na wanakataa kurudi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mbona, basi, watu hawa wa Yerusalemu wamegeuka waende nyuma, wasikome kugeuka hivyo? Hushika udanganyifu sana, hukataa kurudi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mbona basi, watu hawa wameacha njia iliyo sawa na kuendelea katika upotovu wao? Wanashikilia miungu yao ya uongo, na kukataa kunirudia mimi!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa nini basi watu hawa walipotea? Kwa nini Yerusalemu inapotea kila mara? Wanang'ang'ania udanganyifu na wanakataa kurudi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa nini basi watu hawa walipotea? Kwa nini Yerusalemu inapotea kila mara? Wanang’ang’ania udanganyifu na wanakataa kurudi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mbona, basi, watu hawa wa Yerusalemu wamegeuka waende nyuma, wasikome kugeuka hivyo? Hushika udanganyifu sana, hukataa kurudi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mbona basi, watu hawa wameacha njia iliyo sawa na kuendelea katika upotovu wao? Wanashikilia miungu yao ya uongo, na kukataa kunirudia mimi!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mbona ukoo huu wa Yerusalemu umegeuka pasipo kurudi kale na kale? Wameyashika madanganyifu, wakakataa kurudi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mbona, basi, watu hawa wa Yerusalemu wamegeuka waende nyuma, wasikome kugeuka hivyo? Hushika udanganyifu sana, hukataa kurudi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mbona basi, watu hawa wameacha njia inayokuwa sawa na kuendelea katika upotovu wao? Wanashikamana na miungu yao ya uongo, na kukataa kunirudilia mimi!