Jeremiah 8:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wenye hekima wenu wataaibishwa; watafadhaishwa na kunaswa. Wamelikataa neno la Mwenyezi-Mungu; je, ni hekima gani hiyo waliyo nayo?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wenye hekima wataaibika, watafadhaika na kunaswa. Kwa kuwa wamelikataa neno la Mwenyezi Mungu, hiyo hekima waliyo nayo ni ya namna gani?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wenye hekima wametahayari, wamefadhaika na kushikwa; tazama, wamelikataa neno la Bwana, wana akili gani ndani yao?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wenye hekima wenu wataaibishwa; watafadhaishwa na kunaswa. Wamelikataa neno la Mwenyezi-Mungu; je, ni hekima gani hiyo waliyo nayo?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wenye hekima wataaibika, watafadhaika na kunaswa. Kwa kuwa wamelikataa neno la BWANA, hiyo hekima waliyo nayo ni ya namna gani?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wenye hekima wataaibika, watafadhaika na kunaswa. Kwa kuwa wamelikataa neno la bwana, hiyo hekima waliyo nayo ni ya namna gani?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wenye hekima wametahayari, wamefadhaika na kushikwa; tazama, wamelikataa neno la BWANA, wana akili gani ndani yao?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wenye hekima wenu wataaibishwa; watafadhaishwa na kunaswa. Wamelikataa neno la Mwenyezi-Mungu; je, ni hekima gani hiyo waliyo nayo?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walio werevu wa kweli wamepatwa na soni, wanazizimuka kwa kuumbuliwa; Neno lake Bwana wamelitupa, sasa wako na werevu gani tena ulio wa kweli?*
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wenye hekima wametahayari, wamefadhaika na kushikwa; tazama, wamelikataa neno la BWANA, wana akili gani ndani yao?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wenye hekima kati yenu wanafezeheka, watahangaishwa na kunaswa. Wamelikataa neno la Yawe. Basi ni hekima gani wanayokuwa nayo?