Jeremiah 9:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Laiti kichwa changu kingekuwa kisima cha maji, na macho yangekuwa chemchemi ya machozi ili nipate kulia mchana na usiku, kwa ajili ya watu wangu waliouawa!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Laiti kichwa changu kingekuwa chemchemi ya maji na macho yangu yangekuwa kisima cha machozi! Ningelia usiku na mchana kwa kuuawa kwa watu wangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Laiti kichwa changu kingekuwa maji, na macho yangu kuwa chemchemi ya machozi, ili nipate kulia mchana na usiku kwa ajili yao waliouawa wa binti ya watu wangu!
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Laiti kichwa changu kingekuwa kisima cha maji, na macho yangekuwa chemchemi ya machozi ili nipate kulia mchana na usiku, kwa ajili ya watu wangu waliouawa!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Laiti kichwa changu kingekuwa chemchemi ya maji na macho yangu yangekuwa kisima cha machozi! Ningelia mchana na usiku kwa kuuawa kwa watu wangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Laiti kichwa changu kingekuwa chemchemi ya maji na macho yangu yangekuwa kisima cha machozi! Ningelia usiku na mchana kwa kuuawa kwa watu wangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Laiti kichwa changu kingekuwa maji, na macho yangu kuwa chemchemi ya machozi, ili nipate kulia mchana na usiku kwa ajili yao waliouawa wa binti ya watu wangu!
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Laiti kichwa changu kingekuwa kisima cha maji, na macho yangekuwa chemchemi ya machozi ili nipate kulia mchana na usiku, kwa ajili ya watu wangu waliouawa!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nataka sana, kichwa changu kingegeuka kuwa maji, nayo macho yangu yangegeuka kuwa kisima cha machozi, nipate kuwalilia mchana na usiku wazaliwa wa ukoo wangu waliouawa!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Laiti kichwa changu kingekuwa maji, na macho yangu kuwa chemchemi ya machozi, ili nipate kulia mchana na usiku kwa ajili yao waliouawa wa binti ya watu wangu!
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Heri ningepata kibanda cha wasafiri katika jangwa, ningewaacha watu wangu na kujiendea. Wote ni wazinzi, ni kundi la watu waasi.