Jeremiah 9:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu asema: “Nitaifanya Yerusalemu magofu matupu, naam, nitaifanya kuwa pango la mbweha; na miji ya Yuda nitaifanya kuwa jangwa, mahali pasipokaliwa na mtu yeyote.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Nitaifanya Yerusalemu lundo la magofu, makao ya mbweha; nami nitaifanya miji ya Yuda kuwa ukiwa, asiwepo atakayeishi humo.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami nitafanya Yerusalemu kuwa magofu, Makao ya mbweha; Nami nitaifanya miji ya Yuda kuwa ukiwa, Isikaliwe na mtu awaye yote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu asema: “Nitaifanya Yerusalemu magofu matupu, naam, nitaifanya kuwa pango la mbweha; na miji ya Yuda nitaifanya kuwa jangwa, mahali pasipokaliwa na mtu yeyote.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Nitaifanya Yerusalemu lundo la magofu, makao ya mbweha; nami nitaifanya miji ya Yuda kuwa ukiwa ili asiwepo atakayeishi humo.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Nitaifanya Yerusalemu lundo la magofu, makao ya mbweha; nami nitaifanya miji ya Yuda kuwa ukiwa ili asiwepo atakayeishi humo.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami nitafanya Yerusalemu kuwa magofu, Makao ya mbweha; Nami nitaifanya miji ya Yuda kuwa ukiwa, Isikaliwe na mtu awaye yote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu asema: “Nitaifanya Yerusalemu magofu matupu, naam, nitaifanya kuwa pango la mbweha; na miji ya Yuda nitaifanya kuwa jangwa, mahali pasipokaliwa na mtu yeyote.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hata Yerusalemu nitaugeuza kuwa machungu ya mawe tu, panapokaa mbwa wa mwitu, nayo miji ya Yuda nitaigeuza kuwa peke yao, isikae watu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami nitafanya Yerusalemu kuwa magofu, Makao ya mbweha; Nami nitaifanya miji ya Yuda kuwa ukiwa, Isikaliwe na mtu awaye yote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nami nikauliza: Kuna mutu anayekuwa na hekima apate kueleza mambo haya? Ni nani aliyeongea na Yawe hata aweze kutangaza kwa nini inchi imeharibiwa na kufanywa tupu kama jangwa hata hakuna mutu anayepita humo?