Jeremiah 9:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Badala yake wamefuata kwa ukaidi fikira za mioyo yao, wakaenda kuyaabudu Mabaali kama walivyofundishwa na wazee wao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Badala yake wamefuata ukaidi wa mioyo yao, wamefuata Mabaali, kama baba zao walivyowafundisha.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
bali wameenenda katika ushupavu wa mioyo yao wenyewe, na kuandamana na Mabaali, kama walivyofundishwa na baba zao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Badala yake wamefuata kwa ukaidi fikira za mioyo yao, wakaenda kuyaabudu Mabaali kama walivyofundishwa na wazee wao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Badala yake wamefuata ukaidi wa mioyo yao, wamefuata mabaali, kama vile baba zao walivyowafundisha.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Badala yake wamefuata ukaidi wa mioyo yao, wamefuata Mabaali, kama vile baba zao walivyowafundisha.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
bali wameenda katika ushupavu wa mioyo yao wenyewe, na kuandamana na Mabaali, kama walivyofundishwa na baba zao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Badala yake wamefuata kwa ukaidi fikira za mioyo yao, wakaenda kuyaabudu Mabaali kama walivyofundishwa na wazee wao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ila wameufuata ushupavu wa mioyo yao, wakayafuata Mabaali, kama baba zao walivyowafundisha.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
bali wameenenda katika ushupavu wa mioyo yao wenyewe, na kuandamana na Mabaali, kama walivyofundishwa na baba zao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Yawe wa majeshi, Mungu wa Israeli, anasema hivi: Nitawakulisha watu hawa uchungu na kuwapa maji yenye sumu wakunywe.