Jeremiah 9:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waambieni: ‘Njoni hima mkaomboleze juu yetu, macho yetu yapate kuchuruzika machozi, na kope zetu zibubujike machozi kama maji.’”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nao waje upesi waomboleze juu yetu, hadi macho yetu yatiririke machozi na kope zetu zibubujike maji.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na wafanye haraka na kutuombolezea, ili macho yetu yachuruzike machozi, na kope zetu zibubujike maji.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waambieni: ‘Njoni hima mkaomboleze juu yetu, macho yetu yapate kuchuruzika machozi, na kope zetu zibubujike machozi kama maji.’”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nao waje upesi kutuombolezea mpaka macho yetu yafurike machozi na vijito vya maji vitoke kwenye kope zetu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nao waje upesi na kutuombolezea, mpaka macho yetu yafurike machozi na vijito vya maji vitoke kwenye kope zetu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na wafanye haraka na kutuombolezea, ili macho yetu yachuruzike machozi, na kope zetu zibubujike maji.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waambieni: ‘Njoni hima mkaomboleze juu yetu, macho yetu yapate kuchuruzika machozi, na kope zetu zibubujike machozi kama maji.’”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Waje upesi kutuombolezea, macho yetu yachuruzike machozi, nazo kope zetu zitiririke maji!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na wafanye haraka na kutuombolezea, ili macho yetu yachuruzike machozi, na kope zetu zibubujike maji.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kilio hiki kinasikilika Sayuni: Tumeangamia kabisa! Tumefezeheshwa kabisa, kwa maana sherti tuiache inchi yetu, nazo nyumba zetu zibomolewe!