Jeremiah 9:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kilio kinasikika Siyoni: “Tumeangamia kabisa! Tumeaibishwa kabisa! Lazima tuiache nchi yetu, maana nyumba zetu zimebomolewa!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sauti ya kuomboleza imesikika kutoka Sayuni: ‘Tazama jinsi tulivyoangamizwa! Tazama jinsi aibu yetu ilivyo kubwa! Ni lazima tuihame nchi yetu kwa sababu nyumba zetu zimekuwa magofu.’ ”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana sauti ya maombolezo imesikiwa toka Sayuni, Jinsi tulivyotekwa! tulivyofadhaika sana! Kwa sababu tumeiacha nchi, kwa kuwa wameangusha makao yetu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kilio kinasikika Siyoni: “Tumeangamia kabisa! Tumeaibishwa kabisa! Lazima tuiache nchi yetu, maana nyumba zetu zimebomolewa!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sauti ya kuomboleza imesikika kutoka Sayuni: ‘Tazama jinsi tulivyoangamizwa! Tazama jinsi aibu yetu ilivyo kubwa! Ni lazima tuihame nchi yetu kwa sababu nyumba zetu zimekuwa magofu.’ ”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sauti ya kuomboleza imesikika kutoka Sayuni: ‘Tazama jinsi tulivyoangamizwa! Tazama jinsi aibu yetu ilivyo kubwa! Ni lazima tuihame nchi yetu kwa sababu nyumba zetu zimekuwa magofu.’ ”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana sauti ya maombolezo imesikiwa toka Sayuni, Jinsi tulivyotekwa! Tulivyofadhaika sana! Kwa sababu tumeiacha nchi, kwa kuwa wameangusha makao yetu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kilio kinasikika Siyoni: “Tumeangamia kabisa! Tumeaibishwa kabisa! Lazima tuiache nchi yetu, maana nyumba zetu zimebomolewa!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sauti za maombolezo zinasikilika upande wa Sioni kwamba: Tumetekwa namna gani na kutwezwa kabisa? Hatuna budi kuiacha nchi yetu, kwani makao yetu wameyabwaga chini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana sauti ya maombolezo imesikiwa toka Sayuni, Jinsi tulivyotekwa! tulivyofadhaika sana! Kwa sababu tumeiacha nchi, kwa kuwa wameangusha makao yetu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Enyi wanawake, musikilize neno la Yawe! Mutege masikio musikie jambo analosema. Muwafundishe wabinti zenu kuomboleza, na kila mutu amufundishe jirani yake wimbo huu wa maziko: