Jeremiah 9:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Enyi wanawake, sikilizeni neno la Mwenyezi-Mungu! Tegeni masikio msikie jambo analosema. Wafundisheni binti zenu kuomboleza, na jirani zenu wimbo wa maziko:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi, enyi wanawake, sikieni neno la Mwenyezi Mungu; fungueni masikio yenu msikie maneno ya kinywa chake. Wafundisheni binti zenu kuomboleza; fundishaneni kila mmoja na mwenzake maombolezo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini lisikieni neno la Bwana, enyi wanawake, Na masikio yenu yapokee neno la kinywa chake; Mkawafundishe binti zenu kuomboleza, Na kila mmoja jirani yake kulia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Enyi wanawake, sikilizeni neno la Mwenyezi-Mungu! Tegeni masikio msikie jambo analosema. Wafundisheni binti zenu kuomboleza, na jirani zenu wimbo wa maziko:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi, enyi wanawake, sikieni neno la BWANA; fungueni masikio yenu msikie maneno ya kinywa chake. Wafundisheni binti zenu jinsi ya kuomboleza; fundishaneni kila mmoja na mwenzake kuomboleza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi, enyi wanawake, sikieni neno la bwana; fungueni masikio yenu msikie maneno ya kinywa chake. Wafundisheni binti zenu kuomboleza; fundishaneni kila mmoja na mwenzake maombolezo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini lisikieni neno la BWANA, enyi wanawake, Na masikio yenu yapokee neno la kinywa chake; Mkawafundishe binti zenu kuomboleza, Na kila mmoja jirani yake kulia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Enyi wanawake, sikilizeni neno la Mwenyezi-Mungu! Tegeni masikio msikie jambo analosema. Wafundisheni binti zenu kuomboleza, na jirani zenu wimbo wa maziko:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sasa ninyi wanawake, lisikieni neno la Bwana, masikio yenu yalipokee neno la kinywa chake! Wafundisheni wana wenu wa kike kuomboleza, kila mwanamke mmoja amfundishe mwenziwe kulilia kufa kwamba:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini lisikieni neno la BWANA, enyi wanawake, Na masikio yenu yapokee neno la kinywa chake; Mkawafundishe binti zenu kuomboleza, Na kila mmoja jirani yake kulia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kifo kimetuingilia katika madirisha yetu, kimetupangia katika nyumba zetu nzuri; kimewaangukia watoto wetu katika barabara, nao vijana wetu katika viwanja vya makutano.