Jeremiah 9:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
‘Kifo kimepenya madirisha yetu, kimeingia ndani ya majumba yetu; kimewakatilia mbali watoto wetu barabarani, vijana wetu katika viwanja vya mji.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mauti imeingia ndani kupitia madirishani, imeingia kwenye majumba yetu ya fahari; imewakatilia mbali watoto katika barabara na vijana wa kiume kutoka viwanja vya miji.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana mauti imepandia madirishani mwetu, imeingia majumbani mwetu; Ipate kuwakatilia mbali watoto walio nje, na vijana katika njia kuu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
‘Kifo kimepenya madirisha yetu, kimeingia ndani ya majumba yetu; kimewakatilia mbali watoto wetu barabarani, vijana wetu katika viwanja vya mji.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mauti imeingia ndani kupitia madirishani na imeingia kwenye majumba yetu ya fahari; imewakatilia mbali watoto katika barabara na vijana waume kutoka katika viwanja vya miji.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mauti imeingia ndani kupitia madirishani, imeingia kwenye majumba yetu ya fahari; imewakatilia mbali watoto katika barabara na vijana waume kutoka viwanja vya miji.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa maana mauti imepandia madirishani mwetu, imeingia majumbani mwetu; Ipate kuwakatilia mbali watoto walio nje, na vijana katika njia kuu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
‘Kifo kimepenya madirisha yetu, kimeingia ndani ya majumba yetu; kimewakatilia mbali watoto wetu barabarani, vijana wetu katika viwanja vya mji.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kifo kimepanda madirishani mwetu, kimeingia majumbani mwetu, kiwapokonye watoto barabarani mwa mji, nao wavulana viwanjani!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana mauti imepandia madirishani mwetu, imeingia majumbani mwetu; Ipate kuwakatilia mbali watoto walio nje, na vijana katika njia kuu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sema: Huu ni ujumbe wa Yawe: Maiti za watu zinalala chini kila pahali kama malundo ya mboleo katika mashamba, kama miganda iliyoachwa na muvunaji, wala hakuna anayeikusanya.