Jeremiah 9:22 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maiti za watu zimetapakaa kila mahali kama marundo ya mavi mashambani, kama masuke yaliyoachwa na mvunaji, wala hakuna atakayeyakusanya.’ Ndivyo alivyoniambia Mwenyezi-Mungu niseme.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sema, “Hili ndilo asemalo Mwenyezi Mungu: “ ‘Mizoga ya watu italala kama kinyesi katika mashamba, kama malundo ya nafaka nyuma ya mvunaji, wala hakuna atakayeikusanya.’ ”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nena, Bwana asema hivi, Mizoga ya watu itaanguka kama samadi juu ya mashamba, Na kama konzi ya ngano nyuma yake avunaye, wala hapana mtu atakayeikusanya.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maiti za watu zimetapakaa kila mahali kama marundo ya mavi mashambani, kama masuke yaliyoachwa na mvunaji, wala hakuna atakayeyakusanya.’ Ndivyo alivyoniambia Mwenyezi-Mungu niseme.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sema, “Hili ndilo asemalo BWANA: “ ‘Maiti za wanaume zitalala kama mavi katika mashamba, kama malundo ya nafaka yaliyokatwa yalalavyo nyuma ya mvunaji, wala hakuna anayekusanya.’ ”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sema, “Hili ndilo asemalo bwana: “ ‘Maiti za wanaume zitalala kama mavi katika mashamba, kama malundo ya nafaka nyuma ya mvunaji, wala hakuna anayekusanya.’ ”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nena, BWANA asema hivi, Mizoga ya watu itaanguka kama samadi juu ya mashamba, Na kama konzi ya ngano nyuma yake avunaye, wala hapana mtu atakayeikusanya.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maiti za watu zimetapakaa kila mahali kama marundo ya mavi mashambani, kama masuke yaliyoachwa na mvunaji, wala hakuna atakayeyakusanya.’ Ndivyo alivyoniambia Mwenyezi-Mungu niseme.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sema: Ndivyo, asemavyo Bwana: Mizoga ya watu itaanguka shambani kuwa kama vinyesi au kama miganda inavyoanguka chini nyuma ya mvunaji, lakini hakuna mwenye kuiokota.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nena, BWANA asema hivi, Mizoga ya watu itaanguka kama samadi juu ya mashamba, Na kama konzi ya ngano nyuma yake avunaye, wala hapana mtu atakayeikusanya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe anasema hivi: Mwenye hekima asijivunie hekima yake, mwenye nguvu asijivunie nguvu yake; wala tajiri asijivunie utajiri wake.