Jeremiah 9:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Anayetaka kujivuna na ajivunie jambo hili: Kwamba ananifahamu kwamba anajua Mwenyezi-Mungu hutenda mema, hufanya mambo ya haki na uadilifu duniani. Watu wa namna hiyo ndio wanipendezao. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
lakini yeye ajisifuye, na ajisifu kwa sababu hii: kwamba ananifahamu na kunijua mimi, kwamba mimi ndimi Mwenyezi Mungu, nitendaye wema, hukumu na haki duniani, kwa kuwa napendezwa na haya,” asema Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
bali ajisifuye na ajisifu kwa sababu hii, ya kwamba ananifahamu mimi, na kunijua, ya kuwa mimi ni Bwana, nitendaye wema, na hukumu, na haki, katika nchi; maana mimi napendezwa na mambo hayo, asema Bwana,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Anayetaka kujivuna na ajivunie jambo hili: kwamba ananifahamu kwamba anajua Mwenyezi-Mungu hutenda mema, hufanya mambo ya haki na uadilifu duniani. Watu wa namna hiyo ndio wanipendezao. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
lakini yeye ajisifuye na ajisifu kwa sababu hili: kwamba ananifahamu na kunijua mimi, kwamba mimi ndimi BWANA, nitendaye wema, hukumu na haki duniani, kwa kuwa napendezwa na haya,” asema BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
lakini yeye ajisifuye, na ajisifu kwa sababu hili: kwamba ananifahamu na kunijua mimi, kwamba mimi ndimi bwana, nitendaye wema, hukumu na haki duniani, kwa kuwa napendezwa na haya,” asema bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
bali ajisifuye na ajisifu kwa sababu hii, ya kwamba ananifahamu mimi, na kunijua, ya kuwa mimi ni BWANA, nitendaye wema, na hukumu, na haki, katika nchi; maana mimi napendezwa na mambo hayo, asema BWANA,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Anayetaka kujivuna na ajivunie jambo hili: Kwamba ananifahamu kwamba anajua Mwenyezi-Mungu hutenda mema, hufanya mambo ya haki na uadilifu duniani. Watu wa namna hiyo ndio wanipendezao. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ila mwenye kujivuna na ajivunie kuwa mtambuzi wa kunijua mimi, ya kuwa mimi Bwana ndiye afanyaye upole na maamuzi yaongokayo katika nchi hii! Kwani hayo ndiyo yanipendezayo; ndivyo, asemavyo Bwana.*
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
bali ajisifuye na ajisifu kwa sababu hii, ya kwamba ananifahamu mimi, na kunijua, ya kuwa mimi ni BWANA, nitendaye wema, na hukumu, na haki, katika nchi; maana mimi napendezwa na mambo hayo, asema BWANA,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Siku zinakuja ambapo nitawaazibu wote waliotahiriwa kimwili tu. –Ni ujumbe wa Yawe.– Ni kusema nitawaazibu: