Jeremiah 9:25 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu asema: “Siku zaja ambapo nitawaadhibu wote waliotahiriwa mwilini tu:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Siku zinakuja, nitakapowaadhibu wale wote ambao wametahiriwa kimwili tu, asema Mwenyezi Mungu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tazama, siku zinakuja, asema Bwana, nitakapowaadhibu wote waliotahiriwa katika hali yao ya kutokutahiriwa;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu asema: “Siku zaja ambapo nitawaadhibu wote waliotahiriwa mwilini tu:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Siku zinakuja, nitakapowaadhibu wale wote ambao wametahiriwa kimwili tu, asema BWANA,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Siku zinakuja, nitakapowaadhibu wale wote ambao wametahiriwa kimwili tu, asema bwana,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tazama, siku zinakuja, asema BWANA, nitakapowaadhibu wote waliotahiriwa katika hali yao ya kutotahiriwa;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu asema: “Siku zaja ambapo nitawaadhibu wote waliotahiriwa mwilini tu:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndivyo, asemavyo Bwana: Tazameni! Siku zinakuja, nitakapowapatiliza wote waliotahiriwa kwa kuwa tena kama watu wasiotahiriwa,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tazama, siku zinakuja, asema BWANA, nitakapowaadhibu wote waliotahiriwa katika hali yao ya kutokutahiriwa;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wamisri, Wayuda, Waedomu, Waamoni, Wamoabu na wakaaji wote wa jangwa wanaonyoa nywele zote za pembenipembeni ya kichwa. Maana watu hawa wote na Waisraeli wote hawajatahiriwa mioyo yao.