Jeremiah 9:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kila mmoja humdanganya jirani yake, hakuna hata mmoja asemaye ukweli. Wamezifundisha ndimi zao kusema uongo; hutenda uovu kiasi cha kushindwa kabisa kutubu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Rafiki humdanganya rafiki, hakuna yeyote asemaye kweli. Wamefundisha ndimi zao kudanganya, wanajichosha wenyewe katika kutenda dhambi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao watadanganya kila mtu jirani yake, wala hawatasema kweli; wameuzoeza ulimi wao kusema uongo; hujidhoofisha ili kutenda uovu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kila mmoja humdanganya jirani yake, hakuna hata mmoja asemaye ukweli. Wamezifundisha ndimi zao kusema uongo; hutenda uovu kiasi cha kushindwa kabisa kutubu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Rafiki humdanganya rafiki, hakuna ye yote asemaye kweli. Wamefundisha ndimi zao kudanganya, wanajichosha wenyewe katika kutenda dhambi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Rafiki humdanganya rafiki, hakuna yeyote asemaye kweli. Wamefundisha ndimi zao kudanganya, wanajichosha wenyewe katika kutenda dhambi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao watadanganya kila mtu jirani yake, wala hawatasema kweli; wameuzoesha ulimi wao kusema uongo; hujidhoofisha ili kutenda uovu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kila mmoja humdanganya jirani yake, hakuna hata mmoja asemaye ukweli. Wamezifundisha ndimi zao kusema uongo; hutenda uovu kiasi cha kushindwa kabisa kutubu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kila mmoja humwongopea mwenziwe, lakini neno la kweli hawalisemi, wakazifunza ndimi zao kusema uwongo, hupotoa, mpaka wachoke.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao watadanganya kila mtu jirani yake, wala hawatasema kweli; wameuzoeza ulimi wao kusema uongo; hujidhoofisha ili kutenda uovu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wanalundika matendo ya kuzulumu juu ya mengine, nao udanganyifu juu ya udanganyifu. Wanakataa kunitambua mimi. –Ni ujumbe wa Yawe.–