Job 1:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, mtumishi akafika kwa Yobu, akamwambia, “Tulikuwa tunalima kwa majembe ya kukokotwa na ng'ombe. Punda nao walikuwa wanakula hapo karibu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
akaja mjumbe kwa Ayubu na kusema, “Maksai walikuwa wakilima na punda walikuwa wakilisha karibu nao,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
mjumbe akamfikilia Ayubu na kumwambia, Hao ng'ombe walikuwa wakilima, na punda walikuwa wakilisha karibu nao;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, mtumishi akafika kwa Yobu, akamwambia, “Tulikuwa tunalima kwa majembe ya kukokotwa na ng'ombe. Punda nao walikuwa wanakula hapo karibu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
akaja mjumbe kwa Ayubu na kusema, “Maksai walikuwa wakilima na punda walikuwa wakilisha karibu nao,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
akaja mjumbe kwa Ayubu na kusema, “Maksai walikuwa wakilima na punda walikuwa wakilisha karibu nao,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
mjumbe akamfikia Ayubu na kumwambia, Hao ng'ombe walikuwa wakilima, na punda walikuwa wakila karibu nao;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, mtumishi akafika kwa Yobu, akamwambia, “Tulikuwa tunalima kwa majembe ya kukokotwa na ng'ombe. Punda nao walikuwa wanakula hapo karibu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
mjumbe akaja kwake Iyobu, akamwambia: Ng'ombe walipokuwa wanalima, nao punda walipolisha kando yao,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
mjumbe akamfikilia Ayubu na kumwambia, Hao ng’ombe walikuwa wakilima, na punda walikuwa wakilisha karibu nao;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, mutumishi akafika kwa Yobu, akamwambia: “Tulikuwa tunalima kwa majembe ya kukokotwa na ngombe. Punda nao walikuwa wanakula pale karibu.