Job 1:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kabla hajamaliza kusema, akaja mwingine, akasema, “Watoto wako wa kiume na wa kike walikuwa wanakula na kunywa divai nyumbani kwa kaka yao mkubwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Alipokuwa bado ananena, mjumbe mwingine akaja na kusema, “Wana wako wa kiume na wa kike walipokuwa wakifanya karamu, wakila na kunywa divai katika nyumba ya ndugu yao mkubwa,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Huyo alipokuwa akali akinena, akatokea na mwingine, na kusema, Wanao na binti zako walikuwa wakila na kunywa divai katika nyumba ya ndugu yao mkubwa;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kabla hajamaliza kusema, akaja mwingine, akasema, “Watoto wako wa kiume na wa kike walikuwa wanakula na kunywa divai nyumbani kwa kaka yao mkubwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati alipokuwa bado ananena, mjumbe mwingine akaja na kusema, “Wana wako na binti zako walipokuwa wakifanya karamu, wakila na kunywa divai katika nyumba ya ndugu yao mkubwa,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Alipokuwa bado ananena, mjumbe mwingine akaja na kusema, “Wana wako na binti zako walipokuwa wakifanya karamu, wakila na kunywa divai katika nyumba ya ndugu yao mkubwa,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Huyo alipokuwa angali akinena, akatokea na mwingine, na kusema, Wanao wa kiume na wa kike walikuwa wakila na kunywa divai katika nyumba ya ndugu yao mkubwa;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kabla hajamaliza kusema, akaja mwingine, akasema, “Watoto wako wa kiume na wa kike walikuwa wanakula na kunywa divai nyumbani kwa kaka yao mkubwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Huyu angali akisema, akaja mwingine, akasema: Wanao wa kiume na wa kike walipokula sikukuu na kunywa nvinyo nyumbani mwa ndugu yao aliyezaliwa wa kwanza,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Huyo alipokuwa akali akinena, akatokea na mwingine, na kusema, Wanao na binti zako walikuwa wakila na kunywa divai katika nyumba ya ndugu yao mkubwa;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alipokuwa hajamaliza kusema, mwingine akakuja, akasema: “Wana zako na wabinti zako walikuwa wanakula na kunywa divai katika nyumba ya kwa kaka yao mukubwa.