Job 1:22 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Katika mambo haya yote Yobu hakutenda dhambi wala hakumfikiria Mungu kuwa ana kosa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Katika mambo haya yote, Ayubu hakutenda dhambi kwa kumlaumu Mungu kwa kufanya ubaya.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Katika mambo hayo yote Ayubu hakufanya dhambi, wala hakumwazia Mungu kwa upumbavu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Katika mambo haya yote Yobu hakutenda dhambi wala hakumfikiria Mungu kuwa ana kosa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Katika mambo haya yote, Ayubu hakutenda dhambi, wala kumlaumu Mungu kwa kufanya ubaya.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Katika mambo haya yote, Ayubu hakutenda dhambi kwa kumlaumu Mungu kwa kufanya ubaya.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Katika mambo hayo yote Ayubu hakufanya dhambi, wala hakumwazia Mungu kwa upumbavu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Katika mambo haya yote Yobu hakutenda dhambi wala hakumfikiria Mungu kuwa ana kosa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Katika mambo hayo yote Iyobu hakukosa, wala hakumwazia Mungu kuwa mwenye mambo yasiyopasa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Katika mambo hayo yote Ayubu hakufanya dhambi, wala hakumwazia Mungu kwa upumbavu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Katika mambo haya yote Yobu hakutenda zambi wala hakumushitaki Mungu kuwa na kosa.