Job 1:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Shetani akamjibu Mwenyezi-Mungu, “Je, Yobu anamcha Mwenyezi-Mungu bure?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Shetani akamjibu Mwenyezi Mungu, “Je, Ayubu anamcha Mungu bure?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo Shetani akamjibu Bwana, na kusema, Je! Huyo Ayubu yuamcha Bwana bure?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Shetani akamjibu Mwenyezi-Mungu, “Je, Yobu anamcha Mwenyezi-Mungu bure?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Shetani akajibu, “Je, Ayubu anamcha Mungu bure?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Shetani akamjibu bwana, “Je, Ayubu anamcha Mungu bure?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo Shetani akamjibu BWANA, na kusema, Je! Huyo Ayubu anamcha BWANA bure?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Shetani akamjibu Mwenyezi-Mungu, “Je, Yobu anamcha Mwenyezi-Mungu bure?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Satani akamjibu Bwana akisema: Je? Iyobu anamcha Mungu bure?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo Shetani akamjibu BWANA, na kusema, Je! Huyo Ayubu yuamcha BWANA bure?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Shetani akamujibu Yawe: “Yobu anamwogopa Yawe kwa bure?