Job 10:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hata hivyo mambo haya uliyaficha moyoni. Lakini najua kuwa hiyo ilikuwa nia yako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Lakini hili ndilo ulilolificha moyoni mwako, nami ninajua kuwa hili lilikuwa katika nia yako:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini mambo haya uliyaficha moyoni mwako; Najua kuwa haya yamo nafsini mwako;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hata hivyo mambo haya uliyaficha moyoni. Lakini najua kuwa hiyo ilikuwa nia yako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Lakini hili ndilo ulilolificha moyoni mwako, nami ninajua kuwa hili lilikuwa katika nia yako:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Lakini hili ndilo ulilolificha moyoni mwako, nami ninajua kuwa hili lilikuwa katika nia yako:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini mambo haya uliyaficha moyoni mwako; Najua kuwa haya yamo nafsini mwako;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hata hivyo mambo haya uliyaficha moyoni. Lakini najua kuwa hiyo ilikuwa nia yako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena ukaficha moyoni mwako mawazo kama hayo, najua, ya kuwa unayo kweli yale ya kutaka,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini mambo haya uliyaficha moyoni mwako; Najua kuwa haya yamo nafsini mwako;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hata hivyo mambo haya uliyaficha ndani ya moyo. Lakini ninajua kwamba ile ilikuwa nia yako.