Job 10:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kama mimi ni mwovu, ole wangu! Kama mimi ni mwadilifu, siwezi kujisifu; kwani nimejaa fedheha, nikiyatazama mateso yangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama nina hatia, ole wangu! Hata kama ningekuwa sina hatia, siwezi kukiinua kichwa changu, kwa kuwa nimejawa na aibu, na kuzama katika mateso yangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mimi nikiwa mbaya, ole wangu! Nami nikiwa mwenye haki, walakini sitainua kichwa changu; Mimi nimejaa aibu Na kuyaangalia mateso yangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kama mimi ni mwovu, ole wangu! Kama mimi ni mwadilifu, siwezi kujisifu; kwani nimejaa fedheha, nikiyatazama mateso yangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama nina hatia, ole wangu! Hata kama ningekuwa sina hatia, siwezi kukiinua kichwa changu, kwa kuwa nimejawa na aibu na kuzama katika mateso yangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama nina hatia, ole wangu! Hata kama ningekuwa sina hatia, siwezi kukiinua kichwa changu, kwa kuwa nimejawa na aibu, na kuzama katika mateso yangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mimi nikiwa mwovu, ole wangu! Nami nikiwa mwenye haki, walakini sitainua kichwa changu; Maana nimejaa aibu Nikiyaangalia mateso yangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kama mimi ni mwovu, ole wangu! Kama mimi ni mwadilifu, siwezi kujisifu; kwani nimejaa fedheha, nikiyatazama mateso yangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kama nafanya maovu, nitaangamia; lakini hata nisipokosa, sitaweza kukiinua kichwa changu, kwani nashiba kwa kuona soni nikiutazama unyonge wangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mimi nikiwa mbaya, ole wangu! Nami nikiwa mwenye haki, walakini sitainua kichwa changu; Mimi nimejaa aibu Na kuyaangalia mateso yangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama mimi ni mwovu, ole wangu! Kama mimi ni mwenye haki, siwezi kujisifu; maana nimejaa haya, nikiangalia mateso yangu.