Job 10:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nikiinua kichwa tu waniwinda kama simba na kuniponda tena kwa maajabu yako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nikiinua kichwa changu juu, unaniwinda kama simba, na kuonesha tena uwezo wa kutisha dhidi yangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kichwa changu kikijiinua, waniwinda kama simba; Tena wajionyesha kwangu kuwa wa ajabu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nikiinua kichwa tu waniwinda kama simba na kuniponda tena kwa maajabu yako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama nikiinua kichwa changu juu, unaninyatia kama simba na kuonyesha tena uwezo wa kutisha dhidi yangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama nikiinua kichwa changu juu, unaninyatia kama simba, na kuonyesha tena uwezo wa kutisha dhidi yangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kichwa changu kikijiinua, waniwinda kama simba; Tena wajionesha kwangu kuwa wa ajabu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nikiinua kichwa tu waniwinda kama simba na kuniponda tena kwa maajabu yako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kama kichwa changu kingeinuka, ungenikimbiza kama simba, ukanirudia na kunionyesha mastaajabu yako;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kichwa changu kikijiinua, waniwinda kama simba; Tena wajionyesha kwangu kuwa wa ajabu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nikiinua kichwa tu, unaniwinda kama simba na kuniponda tena kwa maajabu yako.