Job 10:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kila mara unao ushahidi dhidi yangu; waiongeza hasira yako dhidi yangu, waniletea maadui wapya wanishambulie.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wewe waleta mashahidi wapya dhidi yangu na kuzidisha hasira yako juu yangu; nazo nguvu zako zinanijia wimbi moja baada ya jingine.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wewe warejeza upya hao mashahidi yako juu yangu, Na kasirani yako waiongeza juu yangu; Jeshi kwa jeshi juu yangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kila mara unao ushahidi dhidi yangu; waiongeza hasira yako dhidi yangu, waniletea maadui wapya wanishambulie.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wewe waleta mashahidi wapya dhidi yangu na kuzidisha hasira yako juu yangu; nazo nguvu zako zinanijia wimbi moja baada ya jingine.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wewe waleta mashahidi wapya dhidi yangu na kuzidisha hasira yako juu yangu; nazo nguvu zako zinanijia wimbi moja baada ya jingine.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wewe unafanya upya ushahidi wako juu yangu, Na kuongeza kisirani chako juu yangu; Ukileta jeshi baada ya jeshi juu yangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kila mara unao ushahidi dhidi yangu; waiongeza hasira yako dhidi yangu, waniletea maadui wapya wanishambulie.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
ungetoa mara kwa mara mashahidi wa kunisuta, upate kuyazidisha makali ya kunitolea, wawe vikosi vizima vyao wanaopokeana kunitesa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wewe warejeza upya hao mashahidi yako juu yangu, Na kasirani yako waiongeza juu yangu; Jeshi kwa jeshi juu yangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kila mara uko na ushuhuda juu yangu, unaongeza hasira yako juu yangu, unaniletea waadui wapya wanishambulie.