Job 10:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Ee Mungu, kwa nini ulinitoa tumboni mwa mama? Afadhali ningekufa kabla ya watu kuniona.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Kwa nini basi ulinitoa tumboni? Ninatamani ningekufa kabla jicho lolote halijaniona.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa nini basi kunitoa tumboni? Ningekata roho, lisinione jicho lo lote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Ee Mungu, kwa nini ulinitoa tumboni mwa mama? Afadhali ningekufa kabla ya watu kuniona.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Kwa nini basi ulinitoa tumboni? Ninatamani ningekufa kabla jicho lo lote halijaniona.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Kwa nini basi ulinitoa tumboni? Ninatamani ningekufa kabla jicho lolote halijaniona.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa nini basi kunitoa tumboni? Ningekata roho, lisinione jicho lolote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Ee Mungu, kwa nini ulinitoa tumboni mwa mama? Afadhali ningekufa kabla ya watu kuniona.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa sababu gani ulinitoa tumboni mwa mama? Macho ya watu yalipokuwa hayajaniona bado, ningalizimia hapo,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa nini basi kunitoa tumboni? Ningekata roho, lisinione jicho lo lote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Mungu, kwa nini ulinitoa katika tumbo ya mama? Afazali ningekufa mbele ya watu kuniona,